
WU® MediaPRODUCTION LIMITED
Wabongo ughaibuni Media wanakuletea Tamthilia mpya inayoitwa KITENDAWILI ambayo imerekodiwa ughaibuni nchini Italy. Tamthilia hiyo yenye maudhui ya kusisimua pia inasehemu kubwa itakayo rekodiwa Paris Ufaransa, Italy na Zanzibar.
ili kuweza kufuatilia Tamthilia hii unashauriwa ku subscribe kwenye YouTube channel ya WABONGO UGHAIBUNI MEDIA.








