0 0
Read Time:27 Second

WU® MEDIA PRODUCTION LIMITED

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohammed Mchengerwa ameongoza kikao cha maandalizi ya ujumbe wa Tanzania katika kikao cha Mawaziri wa Michezo wa Jumuiya ya Madola kinachoanza Julai 26 mjini Birmingham, Uingereza, ikiwa ni kabla ya uzinduzi wa mashindano ya michezo ya Jumuiya ya Madola. Pamoja naye ni Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Dkt. Asha-Rose Migiro, Mhe Mussa Sima ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Michezo Ndugu Saidi Yakubu

Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %