0 0
Read Time:26 Second

DKT SAMIA SULUHU HASSAN, MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM NA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA AWATAKA VIJANA KUYATAFSIRI MAPINDUZI MATUKUFU YA ZANZIBAR KWA VITENDO.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan akikabidhi Vyeti kwa baadhi ya Wadau waliowezesha  kufanikisha Matembezi ya Vijana wa Umoja wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) katika kuadhimisha miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika Kijiji cha Paje, Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 10 Januari, 2023.
Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %