0 0
Read Time:19 Second

Kamala Harris Makamu Wa RAIS WA Marekani amepokelewa na mwenyeji wake RAIS WA Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan.

Kamala Harris amewasili Jana nchini kwa ziara maalumu akitokea nchini Ghana.

“Chini ya Uongozi wako Rais Samia Suluhu, Umefanya makubwa na Mazuri sana katika Demokrasia. Mimi na Rais Joe Biden wa Marekani tunakupongeza sana” – Kamala Harris, Makamu Wa Rais wa Marekani

Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %