Read Time:23 Second
Tangazo la msiba Oslo/Nesodden.
Mwenyekiti wa Chama Cha Watanzania Oslo, Dr. Tito Sendeu Tenga anasikitika kutangaza kifo cha Abraham Jengo, mtoto wa Raphael Jengo wa Nessoden, Akershus, Norway.
Mazishi yatafanyika Ijumaa, 30 Septemba 2011 saa 7 mchana (13:00 CET) kwenye kanisa la Nesodden.
Tutazidi kutoa habari zaidi za kuhusu mazishi ya kijana huyo kwenye blogu, facebook na twitter.
Wenu,
Chama Cha Watanzania Oslo.
http://watanzaniaoslo.blogspot.com
http://twitter.com/#!/watanzaniaoslo
WABONGO UGHAIBUNI