Read Time:11 Second
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi amebainisha kuwa watanzania waishio nje ya nchi watapata haki ya kushiriki upigaji kura wakiwa katika nchi wanazoishi ikiwa sheria ya uchaguzi itafanyiwa mabadiliko lakini kwa sasa hawawezi kupata fursa hiyo