Kinyume na dhana potofu miongoni mwa watu wengi: Marekani, nchi ambayo ni tajiri zaidi duniani, ina viwango vibaya zaidi vya umaskini miongoni mwa nchi zilizoendelea.
Zaidi ya nusu karne baada ya Rais Lyndon B. Johnson kutangaza “vita dhidi ya umasikini,” Marekani bado haijaweza kupata jibu ni vipi inaweza kushinda vita hiyo. READ