0 0
Read Time:15 Second

Watanzania waliokuwa wanaishi South Africa wanarejea nyumbani Tanzania baada ya janga la covid-19 kuteteresha uchumi wa nchi hiyo kutokana na Lockdown ya muda mrefu sasa.Pongezi nyingi kwa Ubalozi na jumuuiya ya Watanzania ya Cape Town. Wabongo ughaibuni WU tunaungana na diaspora wote kuwatakia ndugu zetu safari ya salama.

Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %