
Read Time:13 Second
Jana usiku tarehe 26 August Ubalozi wa Tanzania kwa kushirikiana na Precision Air na Kilimanjaro tours ya nchini hapa uliandaa safari ya ndege-repatriation flight kuleta watanzania waliokwama South Africa na wa mataifa mengine wanaokuja kufanya kazi nchini. Jumla ya abiria ilikuwa 54.