Read Time:11 Second
Balozi Mbelwa Kairuki atembelea kiwanda cha kinachotengeneza teknolojia ya kuzalisha umeme wa jua jijini Shenzen. Ujumbe wa kampuni hiyo utatembelea Tanzania mwezi Desemba 2020 kutafuta fursa ya kuwekeza katika uzalishaji wa vifaa vya umeme wa jua
@foreigntanzania