
Read Time:14 Second
Kampuni ya Yihai Kerry ya China kununua UFUTA na MAHARAGE ya soya kutoka Tanzania katika msimu ujao. Kwa kuanzia kampuni hiyo inahitaji tani laki 2 za kila zao. Ahadi hiyo imetolewa leo jijini Beijing na Mkurugenzi wa Kampuni hiyo Ndugu Yang Yantao alipokutana na Balozi Kairuki.










