0 0
Read Time:4 Minute, 43 Second

HIZI NI KELELE ZA MUDA ZITAPITA!

George Michael Uledi.
Kyela,Mbeya.
April,2021.

Nichukue nafasi hii kuwatia moyo Wazalendo wa Nchi kwamba tunapaswa kuwa watulivu dhidi ya wale wote wanaotaka kuchafua “legacy” ya hayati John Pombe Joseph Magufuli.

Tukubali kuwa “legacy” ya John Pombe Joseph Magufuli haiwezi kubomolewa kwa maneno matupu lakini anayetaka kubomoa alama hizi itamchukua muda mrefu sana kwa sababu yale madege karibia kumi hayawezi kubomolewa kwa repoti ya CAG.

Zile Meli na vivuko vipya ndani ya Ziwa Victoria,Nyasa na Tanganyika vilivyotengenezwa na Mtanzania mzalendo Songoro Marine hauwezi kuvibomoa kwa repoti ya CAG!Kusema ile ndani ya JPM pale Mbezi inaleta foleni wakati kuna barabara yenye njia sita ni kichwaa tu ndio anaweza kukuelewa.

Tangu mwanzo Serikali ya Mh.Rais Samia Suluhu Hassan ilishatoa msimamo kwamba miradi yote ilianzishwa na hayati John Pombe Magufuli itamalizwa kwa wakati.

Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %