0 0
Read Time:17 Second

Viongozi wakuu wastaafu Rais Alhasan Mwinyi na Jakaya Kikwete wameongozana na Mawaziri Wakuu wastaafu Mhe. Cleopa Msuya, Mhe. John Malecela na Mhe. Mizengo Pinda leo Jumatatu Julai 05, 2021, katika ziara ya kutembelea utekelezaji wa mradi wa kimkakati wa kufua umeme kwa maji wa Julius Nyerere unaotekelezwa katika Bonde la mto Rufiji.

BWAWA LA NYERERE VIDEO

Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %