0 0
Read Time:13 Second

Rest in Peace

Habari zilizo tufikia kutoka Dubai zinasema,
Baharia wa
kitanzania
amefariki kwa kuanguka ghafla akiwa kazini nchini Dubai tarehe 7/7/2021
Marehemu anaitwa Ahmed Liganduka, anatokea Goms, yaani (GONGO LA MBOTO Dar Es Salaam) alikuwa mfanyakazi wa kampuni ya Linden Shipping Co.

Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %