0 0
Read Time:54 Second

Na Mwalimu Nyange

“Mwalimu Nyange ni Katibu Tawala wilaya ya Pangani mkono Tanga,Pamoja na majukumu yake mengi ya kazi lakini hutenga muda kuwa na wanafunzi, kuwajenga kifikra zaidi na kutambua kuwa Taifa letu linawategemea wao kwa mustakabali wa maendeleo ya nchi yetu.

A meaningful life is not being rich, Being popular, Being highly Educated, Or Being Perfect. It’s about Being real, Being Humble, Being Able to share Ourselves and Touch the lives of Others.

Watu wengi wanafanya kazi zao Vizuriii sana na kwa ufanisi Mkubwa sana lakini wanasahau mahusiano kati ya kazi zao na kugusa Maisha na hisia za watu katika kutatua changamoto zao na kuacha alama njema ya utendaji kazi wao kwa kizazi cha Sasa na baadae.

Darasa la saba wameondoka tutawakumbuka sana au kuwasahau haraka kutokana na mchango wao na uwepo wao hapa Shuleni kwa miaka saba wametuachia nini chema au kibaya cha kuwakumbuka.

Stori za kujenga Ubongo kwa manufaa ya Nchi yetu chini ya Mwembe shuleni na darasa la sita wakati wa break time

Uzalendo wetu ni kuitumikia Nchi yetu.

Nyinyi mnategemewa na Taifa Zima”

Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %