
Read Time:19 Second
Na Mwana Habari wetu
Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa Naibu Waziri ofisi ya Waziri mkuu Uwekezaji Mh. William Tate Ole Nasha amefariki akiwa nyumbani kwake jijini Dodoma.Taarifa zaidi tutawaletea wasomaji wetu.

Chamwino.
Dodoma.








