0 0
Read Time:19 Second

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipokwenda kuzuru na kuweka Shada la Maua kwenye Kaburi la aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania awamu ya tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli leo Oktoba 14,2021. alipokua njiani akielekea katika Uwanja wa Magufuli Wilayani Chato Mkoani Geita kwa ajili ya kuzima Mwenye Maalum wa Uhuru.

RIP JPM

Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %