

George Michael Uledi
Kyela,Mbeya.
Octoba 19,2021.
Hivi tumefikaje hapa?Marehemu Kaka yangu Godfrey Mungereza wa Basata hasingekubali haya kwa vyovyote vilee!Hii aibu nimepata jana,binti yangu aliponiimbia wimbo hovyo kabisaa, nanukuu,”….dady Mwagia ndanii. Oooohoo Mwagia ndani….”.akiimba wimbo wa Maua Sama na Abba!
Nilistukaa!Huu wimbo wa hovyo mbona mpaka leo upo?VYOMBO vya uthibiti vipi,Radio zinaupiga,you tube unapamba motooo!
“….ooo baba Mwagia ndani,…”
Ndio tumefika hapo?Basata ilikufa na Marehemu Godfrey Mungereza?Maua Sama na Abba bila hata aibu anatuimbia maneno haya,tunaenda wapi?Binti yangu kesho atakuwa nani!Hovyo kabisa!

Dkt Hassan Abbas Mgosi mwenzangu upo,unaijua hii nyimbo,nyimbo hii ya hovyo unaijua?
Sipo tayari kuona aibu hii inaendelea!Mama inaonekana watu wetu wamelala hata hawajui mitandaoni kunani!Hii moja tu,mmemsikia Harmonise?
“…Nataka nikutooo…..× 2
Out!
Aibu kabisa hii!
+255784159968
+255746726484