0 0
Read Time:27 Second

Habari picha

WU®

Rais Samia akishiriki mkutano wa Umoja wa Mataifa wa 26 wa mabadiliko ya tabia Nchi – #COP26 pamoja na viongozi wenzake Wakuu wa Mataifa mbalimbali akiwemo Rais wa Marekani Joe Baden (aliyeketi kiti cha karibu na Rais Samia) unaofanyika nchini Scotland – UK

TanzaniaImara

#KaziIendelee


Rais Samia akiwa na Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson (kushoto) na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres (kulia) katika picha ya kumbukumbu kwenye mkutano wa 26 wa Nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa unaohusu mabadiliko ya tabia Nchi – COP26 unaofanyika Scotland – UK
Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %