Na Mwandishi wetu WU ®
Habari katika picha, Jumuiya ya Watanzania Afrika ya kusini –TACOSA yafanya mkutano wa kufungua mwaka siku ya tarehe 21 Novemba 2021.
Katika mkutano huo pamoja na mambo mengine kuliongelewa masuala ya uhamiaji, fursa mbalimbali za kimaendeleo, umuhimu wa kuwa na umoja na maandalizi ya sherehe za miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara.