0 0
Read Time:31 Second

WU® MediaPRODUCTION LIMITED

Kampuni hiyo, ambayo ilikuwa imefungua mgahawa wake wa kwanza nchini miaka 32 iliyopita, ilitangaza kuwa imeuza migahawa yake 850 nchini, ambayo leo imeajiri watu 62,000, na kuhusisha uamuzi wake na mgogoro wa kiukwaji wa HAKI za kibinadamu unaohusishwa na vita inayoendelea. 

McDonald wanasema kwamba kuweka biashara nchini Urusi "sio jambo endelevu tena wala haiendani na maadili ya jamii". 

Kampuni hiyo tayari ilikuwa imefunga mikahawa yake kwa muda nchini Urusi, ikiendelea kuwalipa wafanyikazi. McDonald's alielezea kuwa itaendelea kufanya hivyo hadi uondoaji utakapokamilika, hata kama utambulisho wa mnunuzi haujatambuliwa. 
Wakati huo huo, wataendelea kuondoa nembo yao inayowakilisha kampuni kwenye migahawa nchini.
Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %