0 0
Read Time:31 Second

WU® MediaPRODUCTION LIMITED

Na Mwandishi wetu

ITALY

Msanii wa muziki wa kizazi kipya BONGO FLAVA HUSSEIN MACHOZI ambae kwa sasa anaishi na familia yake nchini Italy, ameachia nyimbo mpya na video yake takriban siku tatu zikizopita.

Hussein Machozi

Track hiyo yenye title ya kusisimua HOI amemshirikisha nguli wa hip hop MR BLUE inafanya vizuri Sana kwa maana mapokezi yake yamekuwa makubwa mno, comment zinajieleza maana mashabiki wamempongeza kwa kurudi Tena kivingine. “Hoi Ina flava tofauti Sana na alivyo zoeleka.” Hiyo ni comment ya mshabiki nchini Italy alipoongea na WABONGO UGHAIBUNI MEDIA.

HUSSEIN MACHOZI -HOI -FEAT MR BLU

Gonga Link 🔗 kuangalia full Video

Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %