0 0
Read Time:35 Second

WU® MediaPRODUCTION LIMITED

Taarifa kwa umma

Mhe. Humphrey Polepole Balozi wa Tanzania Nchini Malawi amekuwa na mazungumzo na Mhe. Andrew P.E.Z Kumwenda. Balozi wa Malawi Nchini.

Katika Mazungumzo hayo, Balozi Polepole amemhakikishia ushirikiano wa juu kwa masuala mbalimbali ikiwa ni sehemu ya kuendelea kukuza na kuimarisha mahusiano baina ya Tanzania na Malawi.

Pamoja na mambo mengine, Balozi Polepole amegusia fursa kubwa ya kutumia Ushoroba wa kusini (Mtwara Corridor) ili kuwezesha usafiri na usafirishaji wa bidhaa na huduma kwenda na kutoka Malawi.

Wakati uohuo, Balozi Humphrey Polepole amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Daniel Chongolo Katika Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya Chama (OND) Lumumba jijini Dar es salaam.
Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %