0 0
Read Time:49 Second

TANZIA

Familia ya Mohamed (MO) ya Dar-es-Salaam Tanzania, inasikitika kutangaza kifo cha mtoto wao Mohamed B. Mohamed kilichotokea Jumanne 21/06/2022 . Mohamed aliyekuwa anaishi Phoenix Arizona, alifikwa na Mauti baada ya kuugua ghafla . MO Amefia hospitali ya Banner Thunderbird Phoenix Arizona .
Mipango ya kusafirisha mwili kwenda nyumbani Tanzania inaendelea .

Ili kufanikisha safari hii ya mwisho ya Marehemu , tunaomba ushirikiano wenu wa hali na mali, Mama mzazi ameomba sana sana watanzania tujumuike kumsafirisha marehemu akapumzike Tanzania.
Kama desturi zetu za Unaweza tuma mchango wa pole kwenye:

Go fund Me:

https://gofund.me/92a102dc


Cash App: $BabaJaheim
Zelle: adammlanzi1@outlook.com
Tutakuwa tunasend update tulipofikia kwa kupitia whatโ€™s app, ili ndugu, marafiki na jumuiya ijue tulipofikia na maandalizi ya safari.
Tungependa kutanguliza shukrani kwa wote mlioungana na mnaoendelea kuunga mkono Familia ya Mohamed (MO).
Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana :
Adam Mlanzi(Abdul): 602-516-4049
Jimmy N. :602-296-9214
Abdulrahman buhet 240- 640-8895

Inna Lillahi wa inna ilayhi raji’un

Asanteni kwa kusambaza ujumbe huu. ๐Ÿ™

Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %