MAREKEBISHO YA SHERIA ZA UHAMIAJI NA ARDHI KWA DIASPORA KUWASILISHWA BUNGENI
WU® MEDIA Hadhi Maalumu kwa Diaspora Serikali ya Tanzania inajiandaa kuwasilisha marekebisho kadhaa ya sheria za uhamiaji na ardhi za nchi hiyo wakati wa kikao cha Bunge cha bajeti ijayo.…