WU® MediaPRODUCTION LIMITED
As-salaam ‘Alaykum WarahmatuLlahi Wabarakatuh,
Tunatumai wote ni wazima, biidhniLlahi Ta’ala.
Dada yetu katika jumuiya, Asha Nyang’anyi pamoja na Familia ya Baghdellah wanasikitika kutangaza kifo cha Bw Abdulhamid Kheri Baghdellah kilochotokea August 15, 2022 kwa ajali ya gari hapa Maryland.
Dada Asha anampango wa kusafirisha mwili wa Marehemu nyumbani kwa maziko
Tunaombwa tuwaweke wafiwa kwenye du’a zetu kwenye kipindi hiki kigumu, Allah Ta’ala awape subira na ampokee mja wake akiwa amemridhia.
Kwa habari zaidi kuhusu msiba wasiliana na:
Dada Jasmine Rubama
(410) 371 9966
Kaka Ali Idowa
(301) 633 1282
Tunaweza kutuma mkono wa rambirambi kupitia:
CashApp
703-232-7102
$TAMCOHAZINA
Au
Zelle
tamcousa2018@gmail.com au
703-232-7102
Inna Lillahi wa Innaa Ilayhi Raji’un
(Hakika sisi ni wa Allah (SW) na kwake ni marejeo yetu)
Al Fatiha
Salatul Fatihi
اللَّهُمَّ صَلِّ عَلَىٰ سَيِّدِنَا مُحَمَّدٍ ❁ الْفَاتِحِ لِمَا أُغْلِقَ ❁ وَالْخَاتِمِ لِمَا سَبَقَ ❁ نَاصِرِ الْحَقِّ بِالحَقِّ ❁ وَالْهَادِي إِلَىٰ صِرَاطِكَ الْمُسْتَقِيمِ ❁ وَعَلَىٰ آلِهِ حَقَّ قَدْرِهِ وَمِقْدَارِهِ الْعَظِيمِ
Wabillahi Tawfiq,
Wenu Uongozi – TAMCO