0 0
Read Time:14 Second

Angola

WU® MediaPRODUCTION LIMITED

Rais Mstaafu Jakaya Kikwete ameongoza ujumbe wa Tanzania kumwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika Mazishi ya Kitaifa ya Hayati Eduardo Dos Santos, aliyekuwa Rais wa Pili wa Angola kati ya 1979 na 2017. Viongozi kutoka nchi mbalimbali duniani walishiriki katika Mazishi hayo.
Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %