
Na Mwandishi wetu
Athens, Greece
Jumuiya ya Watanzania nchini Greece, wamefanya uchaguzi wa viongozi wake,ambapo Ndugu Kayu Ligopora amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo. Ndugu Kayu Lugopora ni mmoja wa Diaspora mwenye uzoefu mkubwa kwenye uongozi. Jumuiya za Watanzania ni taasisi muhimu Sana zinazosimania Maslahi mapana ya Diaspora kwenye maeneo Yao.






