0 0
Read Time:25 Second

Na Mwana Habari wetu Greece.

Jumuiya ya Watanzania nchini Greece inasikitika kutangaza kifo Cha Mtanzania
HASSAN CHANDE aliefariki jana tarahe 10/12/2022 katika hospitali ya Metaxa iliyopo Piraeus.

Uongozi wa Jumuiya kwa sasa upo katika mchakato wa michango ili uwezesha mwili wa marehemu kupelekwa nyumbani kwa mazishi.

Taarifa Zaidi zitatolewa na uongozi kila hatua itajayojiri.
Mungu amweke mahala pema. Amin!
INNA LILLAHI WAINNA ILAIHI RAJIUUN

Taarifa hii ya msiba imetangazwa na “Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania nchini Greece Ndugu KAYU LIGOPORA”


Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %