0 0
Read Time:35 Second

Kagera, Lake Victoria

Mkuu wa mkoa wa Kagera Mh. Albert Chalamila ametangaza fursa kwa Watanzania lakini pia kwa Watanzania wanaoishi nje ya nchi yaani Diaspora.

Mkuu wa mkoa amesema maandalizi yapo katika hatua nzuri tayari kwa Makampuni 12 kutoka Marekani kuja kuwekeza katika fukwe za Ziwa Victoria.

mkuu wa mkoa amesema uwekezaji huo Mkubwa wa takriban dollar billion moja ni matokeo chanya ya ziara za RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan alipokwenda Marekani kwa mwaka Jana 2022. Katika eneo Hilo pia kutajengwa Chuo Cha utafiti cha Nelson Mandela, ufugaji wa samaki, mahoteli ya kitalii nk. Hivyo amewahimiza Watanzania wanaoishi nje kujiongeza na kuchangamkia fursa hii kubwa ya uwekezaji mkoa humo.

Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %