
Read Time:13 Second
WUยฎ MEDIA
Asali kutoka Chuo cha Nyuki Tabora yashika nafasi ya pili kwenye kundi la asali yenye rangi nyeusi. Bw. Daniel Pancras amepokea kwa niaba ya Ujumbe wa Tanzania ulioshiriki Kongresi ya Wafugaji Nyuki nchini South Africa.










