
Read Time:14 Second
Geneva, Swiss
Uwakilishi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Umoja wa Mataifa na Mashirika ya Kimataifa Geneva, unaongoza mashauriano baina ya Wawakilishi kutoka Nchi za kundi la 77 na China ili kuanza kuchukua msimamo wa pamoja katika majadiliano ndani ya Mashirika yote ya Kimataifa.

