Stockholm, Sweden
Balozi wa Tanzania nchini Sweden Mhe. Grace Olotu akiwa kwenye picha na Mhe. Toomas Lukk, Balozi wa Estonia nchini Sweden baada ya mkutano uliofanyika Ubalozini Stockholm. Mazungumzo kati ya Mabalozi hao yalilenga katika kukuza ushirikiano kati ya Tanzania na Estonia hususan kwenye sekta ya TEHAMA.