
Read Time:13 Second
Geneva
Mhe. Maimuna Tarishi, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Geneva akiwasilisha hotuba kwa lugha ya Kiswahili katika kikao cha 53 cha Baraza la Haki za Binadamu, Umoja wa Mataifa-Geneva kuadhimisha Siku ya Lugha ya Kiswahili Duniani.