Dodoma, Tanzania
KITABU CHA SAFARI YA MIAKA SITINI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akikabidhiwa Kitabu cha Safari ya Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika na Balozi wa Tanzania nchini Italia ambaye ni mmoja wa Waandaaji wa Kitabu hicho Mhe. Mahmoud Thabit Kombo.
Makabidhiano hayo yalifanyika Ofisini kwa Makamu wa Rais mkoani Dodoma, makao makuu ya Serikali.