
Paris, FRANCE
Rai Samia kuhutubia jukwaa la nishati safi ya kupikia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewasili jijini Paris, Ufaransa tarehe 12 Mei, 2024 na kupokelewa na Viongozi Waandamizi wa Serikali, Watumishi wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Ufaransa na Watanzania wanaoishi nchini humo. Rais Samia atakuwa Mwenyekiti mwenza kwenye mkutano huo.
