0 0
Read Time:34 Second

New York

Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Africa Mashariki Mhe.Balozi Mahmoud Thabit Kombo akiwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa TANZANIA, Mhe. Dkt.Tulia Ackson Mwansasu ambaye pia ni Rais wa Jumuiya ya Mabunge ya Dunia IPU na Katibu wa Bunge hilo, Mhe. Martin Chungong ambaye ni Raia wa Cameroon asubuhi ya leo 22/09/2024 katika Kikao cha UNGA Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa.

UNGA ni Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ndicho chombo kikuu cha kutunga sera cha Shirika hilo. Ikijumuisha Nchi Wanachama zote, inatoa jukwaa la kipekee la majadiliano ya kimataifa ya maswala kamili ya kimataifa yaliyoainishwa na Mkataba wa Umoja wa Mataifa.

Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %