
Johannesburg,South Africa
Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo anamuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan nchini South Africa kwenye mdahalo wa kwanza wa amani na usalama Afrika (APSD)
Mdahalo huo ulioandaliawa na Taasisi ya Thabo Mbeki unafanyika katika jiji la Johannesburg kuanzia tarehe 4 hadi 6 Oktoba 2024.
