MSIBA WA DR. NDUGULILE
Arusha Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na Viongozi wengine kwa ajili ya kumuombea aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika Marehemu Dkt. Faustine Ndugulile aliyefariki dunia nchini India alipokuwa akipatiwa matibabu, wakati wa Kikao Kazi kilichofanyika Ikulu ndogo Arusha tarehe 29 Novemba, 2024.