
London UK
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe, Dkt.Hussein Ali Mwinyi akishiriki katika Mkutano wa Biashara na Uwekezaji wa Jumuiya ya Madola (Commonwealth Trade & Investment Summit 2025), kwenye ukumbi wa Jiji la kihistoria Mansion House, London tarehe 7 Aprili 2025.
Mkutano huo umehudhuriwa na Viongozi mbalimbali kutoka Nchi wanachama wa Jumuiya ya Madola chini ya uenyeji wa Meya wa Jiji la London, Mhe.Alderman Alastair King.










