Jumla ya Dola za Kimarekani 32,000 takribani shilingi za Kitanzania milioni 70 zilikusanywa na Watanzania waishio nchini Marekani kwa ajili ya kuchangia mapambano ya Covid-19 nchini Tanzania mwaka huu.Pesa hizo zilikabidhiwa katika mikoa kadhaa kwa ajili ya kusaidia vifaa mbalimbali katika taasis za Afya nchini Tanzania
Read Time:15 Second








