
Read Time:12 Second
Serikali ya Jimbo la Hunan imenzisha Mtaa Maalum wa Kuuza kahawa kutoka Barani Afrika katika soko Kuu la Gaoquiao jijini Changsha. Hafla ya uzinduzi wa mtaa huo imefanyika leo na kuhudhuriwa na wawakilishi wa mataifa mawili yanayozalisha Kahawa Tanzania na Ethiopia











