Read Time:9 Second
Watanzania waishio nje wahimizwa kuwekeza nyumbani pamoja na kupeleka ujuzi waliopata nje ya nchi katika kuchangia maendeleo ya nchi. Mh Kitila Mkumbo alisisitiza msimamo wa serikali kuhusu diaspora.

Watanzania waishio nje wahimizwa kuwekeza nyumbani pamoja na kupeleka ujuzi waliopata nje ya nchi katika kuchangia maendeleo ya nchi. Mh Kitila Mkumbo alisisitiza msimamo wa serikali kuhusu diaspora.
Leo ni siku ya kihistoria kwa Taifa letu. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP)…
Zanzibar Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) zimekubaliana kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na kijamii katika maeneo ya kimkakati ikiwemo biashara na uwekezaji, kilimo, madini, nishati, usafirishaji, miundombinu, afya…