0 0
Read Time:19 Second

Na Mwana Habari wetu

Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa Naibu Waziri ofisi ya Waziri mkuu Uwekezaji Mh. William Tate Ole Nasha amefariki akiwa nyumbani kwake jijini Dodoma.Taarifa zaidi tutawaletea wasomaji wetu.

Kumbukumbu: Mhe.William Tate Ole Nasha wakati akila kiapo mbele ya Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan kuwa Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji, Ikulu Chamwino Dodoma.
Chamwino.
Dodoma.
Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %