
WU® MEDIA PRODUCTION
Nairobi Kenya
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango leo tarehe 3 Machi, 2022 akitoa salamu za Tanzania kwa niaba ya Rais Samia Suluhu Hassan katika Mkutano maalum wa miaka hamsini ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Mazingira (UNEP) katika Ukumbi wa Mikutano wa Shirika hilo Jijini Nairobi, Kenya.












