0 0
Read Time:21 Second

WU® Media PRODUCTION LIMITED

Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Ndg Abdulrahman Omar Kinana amesema Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg Samia Suluhu Hassan ataitisha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa maalum kwa lengo la kujadili na kutathmini hali ya uchumi ya Nchi.

Ameyasema hayo leo wakati wa mapokezi yake ukumbi wa Diamond Jubilee mkoani Dar es Salaam.

CCMImara

KaziIendelee

Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %