
WU®Media PRODUCTION LIMITED
Mkurugenzi Mtendaji na Afisa Mtendaji Mkuu wa Equity Group Dkt James Mwangi, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Equity Bank Tanzania Eng. Raymond Mbilinyi, Mjumbe wa Bodi Prof. Ahmed Ame na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Equity Bank Tanzania Bi. Isabella Maganga leo walikuwa na mazungumzo na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan, ikulu jijini Dar Es Salaam juu ya kuimarisha mahusiano kati ya Equity Group na serikali ya Tanzania.









