0 0
Read Time:49 Second

TANZIA

Familia ya Mohamed (MO) ya Dar-es-Salaam Tanzania, inasikitika kutangaza kifo cha mtoto wao Mohamed B. Mohamed kilichotokea Jumanne 21/06/2022 . Mohamed aliyekuwa anaishi Phoenix Arizona, alifikwa na Mauti baada ya kuugua ghafla . MO Amefia hospitali ya Banner Thunderbird Phoenix Arizona .
Mipango ya kusafirisha mwili kwenda nyumbani Tanzania inaendelea .

Ili kufanikisha safari hii ya mwisho ya Marehemu , tunaomba ushirikiano wenu wa hali na mali, Mama mzazi ameomba sana sana watanzania tujumuike kumsafirisha marehemu akapumzike Tanzania.
Kama desturi zetu za Unaweza tuma mchango wa pole kwenye:

Go fund Me:

https://gofund.me/92a102dc


Cash App: $BabaJaheim
Zelle: adammlanzi1@outlook.com
Tutakuwa tunasend update tulipofikia kwa kupitia what’s app, ili ndugu, marafiki na jumuiya ijue tulipofikia na maandalizi ya safari.
Tungependa kutanguliza shukrani kwa wote mlioungana na mnaoendelea kuunga mkono Familia ya Mohamed (MO).
Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana :
Adam Mlanzi(Abdul): 602-516-4049
Jimmy N. :602-296-9214
Abdulrahman buhet 240- 640-8895

Inna Lillahi wa inna ilayhi raji’un

Asanteni kwa kusambaza ujumbe huu. 🙏

Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %