0 0
Read Time:32 Second

Watanzania wanaoishi nje ya nchi (diaspora) wamewekeza Sh2.9 bilioni kwenye Mfuko wa Dhamana ya Uwekezaji (UTT) na Sh2.3 bilioni kwenye mradi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Kigamboni kwa mwaka 2021.

Rais wa Akademia ya Sayansi Tanzania (TAAS), Profesa Yunus Mgaya akizungumza katika mkutano wa TAAS wenye lengo la kutengeneza jukwaa shirikishi la kuendeleza juhudi za uwekezaji kwenye sekta ya elimu. Picha na Michael Matemanga

Dar es Salaam. Rais wa Akademia ya Sayansi Tanzania (TAAS), Profesa Yunus Mgaya amesema Serikali imefungua milango ya uwekezaji nchini kwa raia wa Tanzania wanaoishi nje ya nchi kutokana na mchango wao kwenye maendeleo ya Taifa.

READ

MWANANCHI

Happy
Happy
0 %
Sad
Sad
0 %
Excited
Excited
0 %
Sleepy
Sleepy
0 %
Angry
Angry
0 %
Surprise
Surprise
0 %