![](https://www.tzabroad.com/wp-content/uploads/2022/12/Balozi_Celestine_Mushy_360_453shar-50brig-20_c1_c_t.jpg.webp)
Tanga
Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine Joseph Mushy, amefariki dunia kwa ajali ya gari eneo la Mkata, wilayani Handeni mkoani Tanga.
Ajali hiyo imetokea jana usiku wakati akiendesha gari aina ya crown lenye namba za usajili T175 DMF kuelekea Moshi, Kilimanjaro.
“WABONGO UGHAIBUNI MEDIA TUNATOA POLE KWA FAMILIA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI KWA MSIBA HUU. “